Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
pazibe tu hahaha๐๐๐ Pataziba, kamata hata Wigelekelo yupo single
wewe umeoa ๐๐
pazibe tu hahaha๐๐๐ Pataziba, kamata hata Wigelekelo yupo single
Sina kazi sina hela, naishi kwetu ๐๐pazibe tu hahaha
wewe umeoa ๐๐
hahahaha.unataka wako peke yakoana wake zake humu
nataka awe hajaoa
sio tatizoSina kazi sina hela, naishi kwetu ๐๐
Ukifikisha mwaka niite mbwaa nimekaa hapa hapa๐๐SIKU NIKIMALIZA ONE YEAR IN "A" RELATIONSHIP LAZIMA NITACHINJA MBUZI..![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila hapa naona mpka ndoa huyu yolly yolly[emoji7] wangu hajui kukasilika hajui kununa hana wivu ni mcheshi ninachompendea anapenda niwe naenda kulala kwao
Yani mliopo single Muda wote mnakuwa na hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wangu mwenyewehahahaha.unataka wako peke yako
Hapa nipo na dada ma dada wa kazi kama unaunga foleni labda ๐๐๐sio tatizo
nakuja tuishi wote hapo
naridhika mie
hahahahaha..safi sana km una wivuwangu mwenyewe
nina wivu mie ๐
Embu nitolee uchawi wako hapa [emoji34][emoji34][emoji34] ngoja nimpigie simu yolly yolly[emoji7] wanguUkifikisha mwaka niite mbwaa nimekaa hapa hapa[emoji1][emoji1]
Unataka niwe wife material kama kwenye bongo movies nikuigizie โ amna mume wangu tutalala ata chin kwenye vibaraza vya watu mm ntakua mama ntilie ntabangaiza mpaka ije siku yetu ๐๐๐โฆ hheeehhheeKuoa wewe mwenyewe si unaona ulivyonipa makavu, sinq hela wala kazi, zaidi ya kulelewa home.. Maana mama siku aki charuka nafukuzwaa nitapeleka wapi toto ya watu ๐๐
Thobotooooo, sasa hivi analiwa huko kwanza ๐๐Embu nitolee uchawi wako hapa [emoji34][emoji34][emoji34] ngoja nimpigie simu yolly yolly[emoji7] wangu
natamani tupendane,daima yolly yolly tufurahike.[emoji108][emoji108][emoji108]
penzi liwe nene,wengine wasiniteke.[emoji322]
moyo umekuchagua,nikupendae ni wewe.
Upo single afu unatumia tecno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐ Hapo nitanyanyasika tukipata mali, utaanza kusema heee, bila mimi usingefika hapa bila mimi usingejengaaa sitaki hayo masimango, acha nipambane tu, usije ninyanyasaa mie bureeUnataka niwe wife material kama kwenye bongo movies nikuigizie โ amna mume wangu tutalala ata chin kwenye vibaraza vya watu mm ntakua mama ntilie ntabangaiza mpaka ije siku yetu ๐๐๐โฆ hheeehhhee
Hehehehe ntajaribu kutokunyanyasa ntajaribu lakin๐๐๐๐ila masumango lazma yawepo we uvumilie tuu๐๐๐๐ Hapo nitanyanyasika tukipata mali, utaanza kusema heee, bila mimi usingefika hapa bila mimi usingejengaaa sitaki hayo masimango, acha nipambane tu, usije ninyanyasaa mie buree
Dooooohhh ukiondoka online sa me ntaishije jaman๐๐๐Bundle bunlde si unaona hata sasa napumilia machineView attachment 2369473
Umeliwa kijana ,jiandae kwa K.O๐SIKU NIKIMALIZA ONE YEAR IN "A" RELATIONSHIP LAZIMA NITACHINJA MBUZI..![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila hapa naona mpka ndoa huyu yolly yolly[emoji7] wangu hajui kukasilika hajui kununa hana wivu ni mcheshi ninachompendea anapenda niwe naenda kulala kwao
Yani mliopo single Muda wote mnakuwa na hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikome๐๐๐๐Ndyo matatizo ya kuwa single ๐๐๐๐๐๐
hahahaha,duhNikome๐๐๐๐
๐๐๐ Ndio unirushie vocha hapa hata ya jero, nipande chuoni kule nikaunde bundle la studentDooooohhh ukiondoka online sa me ntaishije jaman๐๐๐
Ila manyanyaso yako yatakuwa mazuri eeeh ๐๐๐ tutazaa kijijiHehehehe ntajaribu kutokunyanyasa ntajaribu lakin๐๐๐๐ila masumango lazma yawepo we uvumilie tuu