myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,061
Mimi Salama kabisa,,,Uwe na siku njema yenye furaha.Sijambo kabisa brother, ww je
Mimi Salama kabisa,,,Uwe na siku njema yenye furaha.Sijambo kabisa brother, ww je
AmenMimi Salama kabisa,,,Uwe na siku njema yenye furaha.
Piga kazi leo bimkubwa aongeze toka 2000 mpaka aftatuNaingia shambani hapa hadi jioni..cha bure ila napiga kazi hatari
poa vipi mzima wewe ?
ile ya bluuMbona na hii ni suit pia?
Habari ni nzuri sana rafiki.ile ya bluu
habari ya leo ?
Hakika Mungu ni mwema kwanguMarhaba kijana wangu mzuri....... Mzima ww ☺️☺️









☺️☺️☺️Hakika Mungu ni mwema kwangu
MfyuuuuuNimeamshwa na morning kiss
Kuna watu wameamshwa na notification za JF![]()
Mzima kabisapoa vipi mzima wewe ?
Chizi wewe😂😂😂😂😂😂😂Nimeamshwa na morning kiss
Kuna watu wameamshwa na notification za JF![]()
tupo poa huku , Mungu ni mwemaHabari ni nzuri sana rafiki.
Vp huko Tgt, wazima?
ooh vyemaMzima kabisa
Ila wameongea ukweli.


Nakutakia siku njema binti Sayunitupo poa huku , Mungu ni mwema
thank youNakutakia siku njema binti Sayuni