Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Natamani tena kurudi nyumastress free life
hudai wala kudaiwa, hakuna mawazo
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa mtoto
Lady Jaydee _Malaika
Natamani tena kurudi nyumastress free life
hudai wala kudaiwa, hakuna mawazo
hakika alijua kuimbaNatamani tena kurudi nyuma
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa mtoto
Lady Jaydee _Malaika
😂😂😂Ila watu 🤣
Mnohakika alijua kuimba
😄😄😄 Darlin kaniambie nitafute hela kwanza na pamoja na kaziWazalishe
Imeandikwa Enendeni mkaijaze Nchi
Sasa bado mnashangashangaa![]()
Ana ngoma yake mpya nayo ipo fresh. Zamani kulikuwa na music mzuri
Naingia shambani hapa hadi jioni..cha bure ila napiga kazi hatariHuna baya mwenywe umeshiba zako unaangalia zako sinema zetu huku unamkonyeza dada
Mtu alie single 😊sahihi kabisa
nimuombe nani niambie 😂😂
aibu jamaniMtu alie single 😊
Mbona na hii ni suit pia?nimekumiss pia
nishazoeaga avatar yako ya suti
Shikamoo mamy
Marhaba kijana wangu mzuri....... Mzima ww ☺️☺️Shikamoo mamy
Marahaba jirani...hujambo?
Sijambo kabisa brother, ww jeMarahaba jirani...hujambo?