Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nuzulati Umenougaaa 👌👌👌💃💃💃💃!! Kitambi hakunaaa banaaa hata sijakiona miee
 
nilifanyaga interview mazinde sikupita kumbe ndo wana makando kando hivi dah .

hadi ulipie kishika jina dah
kweli private ni biashara
Hahaaaàa!sio kua ulikosa umefeli ,hapana,ni kua haukupita mgongo wa nyuma dear,ndo Wana hzo mambo!ndo nimeàmbiwa na miye ,rafikii yangu yeye kupata tu katoa 1m,then kishika jina 1m,Hapo bado ada n.k na Marian nadhan nao unatoa laki 5 ya jina pia..nimeshindwa Mimi,maana ada yenyewe papatu,papatuaende boarding apate elimu nzuri atimize ndoto zake ambazo miye nilishindwa.
 
Dah!

Hii hali inanishangaza sana,

Nina rafk yangu mmoja(ke) kabla ya kuolewa tulikuwa tunabonga fresh tu ila baada ya kuolewa nashangaa kila nikimtext anareply kwa emoji tu...

Huenda ndio mkakati aliochagua wa kulinda ndoa... 🤠
Ni vizuri especially kwa afya ya mahusiano yake! Too much mazoea siooo salama kabisaaa!!
 
Dah!

Hii hali inanishangaza sana,

Nina rafk yangu mmoja(ke) kabla ya kuolewa tulikuwa tunabonga fresh tu ila baada ya kuolewa nashangaa kila nikimtext anareply kwa emoji tu...

Huenda ndio mkakati aliochagua wa kulinda ndoa... 🤠
Muandikie kwa mambo muhimu.

Kukujibu kwa emoji ni kuonyesha jambo si serious sana.

Mazoea naye yaache, mbaki kuwa watu wa kuheshimiana. Ukiwa na jambo serious, muandikie ujumbe wa kueleweka.

Siyo mazoea ya kuandikiana sms kila kukicha. Si afya sana kwa mahusiano haswa ya kwenye ndoa.
 
Ni mwanangu sana kitambo sana..

Anachofanya ni kuacha mbachao kwa msala upitao..

Najua atanitafuta tu atakapokuwa na uhitaji kama ambavyo..

I will surely turn my back on her.. Vinginevyo ni jaribio la yeye kudhibiti namna ganj tuhusiane of which kwangu haikubaliki..
Bado haijalishi... na If so .. sit down and talk then mchane makavu muyaweke sawa ila sio hio drama unaotaka kuifanya!! !
Katika mahusiano kuna muda reaches a point lazima ujitoe muhanga kwa baadhi ya watu/ vitu just for the sake of that relationship!!/ ndoa yako!
 
Ni mwanangu sana kitambo sana..

Anachofanya ni kuacha mbachao kwa msala upitao..

Najua atanitafuta tu atakapokuwa na uhitaji kama ambavyo..

I will surely turn my back on her.. Vinginevyo ni jaribio la yeye kudhibiti namna ganj tuhusiane of which kwangu haikubaliki..
In fact, unaweza kuwa na umuhimu lakini si kama alionao mumewe.

Unapaswa kuelewa mipaka yako haswa kwa mwanamke aliyeolewa.

Haijalishi mmepambana kiasi gani, mmeokoana mara ngapi, lakini akishaolewa mipaka inatawala.

Kuwa na amani kabisa, hajakupotezea.
 
😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
 
Kanipotezea almost 3 times, namtext anajibu na emoj..

Sawa Mkuu ila anachofanya Mkuu, ni kunifanya nijihisi muhuni na muharibifu wa ndoa za watu hali ya kuwa mimi ni mtu na heshima zangu..

Sijaharibu uchumba wake itakuwa ndoa..
Uchumba si ndoa bwana mdogo
 
Ni mwanangu sana kitambo sana..

Anachofanya ni kuacha mbachao kwa msala upitao..

Najua atanitafuta tu atakapokuwa na uhitaji kama ambavyo..

I will surely turn my back on her.. Vinginevyo ni jaribio la yeye kudhibiti namna ganj tuhusiane of which kwangu haikubaliki..
Sasa she is someone's wife now,u need to respect he duude!!
Why hukumuoa weyee?au mlikua marafiki ,u need to understand her currently situation,she is no longer single any more, freedom yake Iko Kwa mwingine, Mwanaume ni kiongozi wake Sasa,she needs to respect, rules and guidelines of marriage woman...
Usimuone anajivuna Ila ndo kuolewa Tena hukoooo mwenzioo!
 
Attachments

  • IMG_20220925_193717_125.jpg
    IMG_20220925_193717_125.jpg
    443.8 KB · Views: 8
Back
Top Bottom