Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,497
- 203,194
😂😂😂😂 subiri kidogoGood girl
Haya njoo kwa foaed kule
😂😂😂😂 subiri kidogoGood girl
Haya njoo kwa foaed kule
aisee ndo shidaShule ni nzuri sana. Ila sasa ametanabaisha, affordable.
Maana yake ni mid income
Hizo ulizotaja parefu kusema affordable.
Ahsanteee dear,hao St.Mary's Mazinde niliwatamani na fomu nlitaka nichukue Ila Sasa nimeshindwa kitu kimoja ,kishika shule Yaani mfano dogo akifauli interview natakiwa nitoe pesa ya kushika jina almost 1m,Hapo bado hujatoa bahasha kidogo ili achaguliwe nimechoka balaaaa!nimechemka natafuta ambayo Haina makando kando ya kushika jina,wala kupita mgongo wa nyuma!maana uchum wenyewe wa mapambano huu!all the best ,umekuza
Anwarite , St. Mary goreth , Kibosho girls zipo moshi. angalia na St.Mary's
Mazinde juu ya Tanga ,
Yaani mwanangu nilitamani aende Hapo acha tuu!Anwarite shule nzuri sana
Niko chuga kiroho madam
Yaani mimi ni charii ya R kindakindaki ila kimwili niko Usukumani Simiyu moja na sasa niko Dom nakata mitaa



Kaahh!weye uko Dom hapa hapa!hata kutafuta twende mnadani nkale nyama etii!Isizidi 3m Ada!ikizidi Hapo sitawezaShule ni nzuri sana. Ila sasa ametanabaisha, affordable.
Maana yake ni mid income
Hizo ulizotaja parefu kusema affordable.



oh pole sanaAhsanteee dear,hao St.Mary's Mazinde niliwatamani na fomu nlitaka nichukue Ila Sasa nimeshindwa kitu kimoja ,kishika shule Yaani mfano dogo akifauli interview natakiwa nitoe pesa ya kushika jina almost 1m,Hapo bado hujatoa bahasha kidogo ili achaguliwe nimechoka balaaaa!nimechemka natafuta ambayo Haina makando kando ya kushika jina,wala kupita mgongo wa nyuma!maana uchum wenyewe wa mapambano huu!
Ndo hvyo tu mtoto asome hakuna namnaa!
Anwarite ngoja nifatilie kipenzi
aisee ndo shida
siku hizi shule nyingi ada zipo juu
nilikuwa namtafutia mtoto shule grade one aisee kila nikipiga nambiwa ada ni 3M sasa huko form one pakoje ?
afu secondary kidogo ziko chin haswaaa za masista hizi,2.7m,2.8m to 3m,nyingi ziko hapoo!!!Mpeleke Visitation, ipo Siha.Isizidi 3m Ada!ikizidi Hapo sitaweza![]()
Ahsante ngoja nicheki hizo maana Kuna mtu kaniambia piaoh pole sana
shule hizi wanaaangalia pesa tu
okay kuna hii precious blood ipo Arusha , na Visistation girls ipo Siha huko Moshi
Ahsante broo!ngoja niichekiMpeleke Visitation, ipo Siha.
Upoo??? Nimekuita kulee najua nipo selfika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!🏃🏼♀️Mpeleke Visitation, ipo Siha.
Kaahh!weye uko Dom hapa hapa!hata kutafuta twende mnadani nkale nyama etii!
Hufaiii
nilifanyaga interview mazinde sikupita kumbe ndo wana makando kando hivi dah .Ahsanteee dear,hao St.Mary's Mazinde niliwatamani na fomu nlitaka nichukue Ila Sasa nimeshindwa kitu kimoja ,kishika shule Yaani mfano dogo akifauli interview natakiwa nitoe pesa ya kushika jina almost 1m,Hapo bado hujatoa bahasha kidogo ili achaguliwe nimechoka balaaaa!nimechemka natafuta ambayo Haina makando kando ya kushika jina,wala kupita mgongo wa nyuma!maana uchum wenyewe wa mapambano huu!
Ndo hvyo tu mtoto asome hakuna namnaa!
Anwarite ngoja nifatilie kipenzi
Njooni mnipigeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Upoo??? Nimekuita kulee najua nipo selfika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Umeniita wapi? SijaonaUpoo??? Nimekuita kulee najua nipo selfika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!🏃🏼♀️
Nina jam la usingizi balaa hapa ngoja nizime data nisisikie notifications 🤣🤣🤣🤣!! 😴😴😴😴😴😴😴😴😴Njooni mnipigeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Madam amerudiii🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Jiselfishe kwanza madamNina jam la usingizi balaa hapa ngoja nizime data nisisikie notifications 🤣🤣🤣🤣!! 😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Nimefuta nivostuka kua sio selfika!! Yanii akili Yangu ishaharibiwa na selfika HakyananiUmeniita wapi? Sijaona