Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Namshangaa huyu DemuJirani usiku mkubwa huu, hulali tu?
Usiku wote huu

Namshangaa huyu DemuJirani usiku mkubwa huu, hulali tu?

Kaa kwa kutuliaUkaribie na daslam
Na wewe karibu BariadiKaribu kipenzi![]()
Nakuwaza wewe jiraniJirani usiku mkubwa huu, hulali tu?
Poa TMambo
Chuga nimehama kidogo bestUmehama chuga?
Daslam huko wakati mwingine best
Sasa ni kipindi maandalizi ya kilimo
Narudi Simiyu kuandaa shamba

YatakushindaNamshangaa huyu Demu
Usiku wote huu![]()
Njoo unitulizeKaa kwa kutulia
Asante TMzima mimi sana tu V
KARIBU
NimekumissYatakushinda
InshaAllah tuombeaneChuga nimehama kidogo best
Basi ikifika mavuno unistue nikusaidie faida![]()
Hujambo jiraniJirani usiku mkubwa huu, hulali tu?
ApiaNimekumiss
Wikiend yako inaishiaje?Salam za usiku wadau
Salama kabisa jirani..Wikiend yako inaishiaje?
sikujua asee , Mungu ni mwaminifu atawaongozata mtapata shule nzuri .Hahaaaàa!sio kua ulikosa umefeli ,hapana,ni kua haukupita mgongo wa nyuma dear,ndo Wana hzo mambo!ndo nimeàmbiwa na miye ,rafikii yangu yeye kupata tu katoa 1m,then kishika jina 1m,Hapo bado ada n.k na Marian nadhan nao unatoa laki 5 ya jina pia..nimeshindwa Mimi,maana ada yenyewe papatu,papatuaende boarding apate elimu nzuri atimize ndoto zake ambazo miye nilishindwa.
wow beautifulKeki kama keki🥳🥳🥳🥳🥳