Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Tunaweza kufanyia hapa tutawaomba wanaselfika wakae kimya kwa muda😅Tunayafanyia hapa jukwaani?😁
Tutafanya baadaye.. Sasahivi nipo busy na ratiba za ibada.
Tunaweza kufanyia hapa tutawaomba wanaselfika wakae kimya kwa muda😅Tunayafanyia hapa jukwaani?😁
Tutafanya baadaye.. Sasahivi nipo busy na ratiba za ibada.
"Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi."Tunaweza kufanyia hapa tutawaomba wanaselfika wakae kimya kwa muda![]()
Bina ShkamooDepal nna shida na wewe
Jinger🤣😃
wewe ndiyoMimi huyu huyu?...
🤲🤲
Ibada njemaTuwahi Kwa ApostleView attachment 2367584View attachment 2367585
Amen 🥰Ibada njema
utapokula keki ,upate miujiza yako.
kama kawaida seat ya mbeleTuwahi Kwa ApostleView attachment 2367584View attachment 2367585
Vikwapa vya watu mchana huu hapana Kwa kweli🤣kama kawaida seat ya mbele
hahaha , urudi nyumbani kwa furaha .Vikwapa vya watu mchana huu hapana Kwa kweli🤣
Na hivi nimechoka nimetoka kanisani.
oh wamechelewa kweli .Amen 🥰
Tunasubiri watoke wa ibada ya kwanza tuingie
Kwenye mchezo wa gololi wenye dungu anakaaa pembeni 👉👉👉
Wamechelewa mnooh wamechelewa kweli .
siku nilitembea toka tanganyika packers hadi Clouds , wengine wanafika ubalozi, Morroco kabisa
Kabisahahaha , urudi nyumbani kwa furaha .
itakuwa ndo maanaWamechelewa mno
Na purukushani za keki ndio kabisa..
ooh kweli dearKabisa
Kuhangaika mchana huu hapana Kwa kweli.
Nitapambana baadaye tukitoka hapa.