Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitumie mchele jamani didiii


Wee nimekutania, huko Lumumba nasikia wamejaa vijana wa hovyo wa sisiemu
mbeya natoka week ijayoo, hapa nawaza kabla ya kwenda home songeaa, niende kwa fidodidoo nka refresh km week hiv afu nisepeee, maanw nina ugwaduu hatareee. Mti nyamaa utoe tiba yakeee. Nimeumisiiii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Looks sooo vyedi na iko na karangi katamuu


Akibana vizuri haitokaa vibayq, abane kiuno mpk hips.. na abane kwa kupitia msamba.
Yes hapa sasa ndo umenifungua akili, ngoja ntapeleka kwa fundi na mtampa maelekezo km yako. Maana hii suruali inanikosesha aman,

Tanteeeeeeeh didiiiii

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom