Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220922_181048.jpg
 
Hongera sana shemeji. Hatimaye Mulangira naye kajitutumua dah! Ila sijui tukape na jina la Kisukuma ili kifanane na nduguze? Sasa Kokushubirwa mh!

Mungu Akabariki hako kamalaika na kukaongoza daima. Na nyie wazazi mkawe na hekima ya kukalea na kukaongoza katika mapenzi ya Mungu
Amen amiynhuyu kahama hukoo bwanaa!!kaachana na majina hayo yapo ya huku kungine
 
Back
Top Bottom