Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpwa
Shimba ya Buyenze nduguzako wakarimu sana nimeletewa dengu mapema Cha ajabu sijui Zinapikwaje 🤣🤣🤣 nimeona aibu kuuliza
Antonnia uje unifundisheView attachment 2364452
Dengu eeeh! Nazilima sana huko Misungwi mpwa. Upikaji wake ni sawa tu na kunde mbona? Mojawapo ya vyakula bora kabisa kiafya.

Kweli Wasukuma tunakutunza mpwa. Ndo maana tunataka ubakie huko huko kimoja. We love you!
Screenshot_20220922-060444_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom