cocastic mdogo wangu
Si nilianza hile story kule
Mja mmoja akanifuata pm kunipopoa kwanini nimeweka nusu
Na kwenye uzi wakaanza,nikauedit nilifuta nilichoandika
Najijua mwenyewe siwezi kuhimili maneno ya waja,story itaniliza mie nitaishia kulia tu siwezi
Chap nikamfuata mods nikamwambia anifutie uzi