Kipindi nasoma chuo, vile vitanda vya deka tulikuwa tunalala watatu
maana tulivyo wembamba hatukuona haja ya kulipia vitanda vitatu kimoja tuu kilikuwa kinatosha.
Nimekumbuka mbali sana, na tulivo wembamba sasa, usiku ukigeuka tuu mifupa ya mwenzako inakuumiza. Yaani kama umalalia magogo vile