Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaha umenichekesha Anne
wakaka wasafi huwa wanavutia sana , huyo kaka unaweza upande naye bus daily .
 
duh pole sana jamani maana si maudhi hayo . wajirekibishe hao madereva .
 
ndo michezo yao hiyo kubambia wadada hahha .
mtu mwenye kiharufu akikusogelea kero
 
eeh hao wanakera last week nilipanda hapo kivukoni , nampa buku anajifanya nimempa 650
hataki kunipa chenji .

bora wawaseme tu hao maanaa hawapo makini
 
eeh hao wanakera last week nilipanda hapo kivukoni , nampa buku anajifanya nimempa 650
hataki kunipa chenji .

bora wawaseme tu hao maanaa hawapo makini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna siku tulimshambulia Suma..haji kutusahau.
Watu tumechoka ,yeye anakuja kutuletea stress zake๐Ÿคฃ
 
haha , watu wenye hasira kali
Nilipita msimbazi,nikataka nipandie hapo.
Aisee nimeenda pale msimbazi A ambapo gari za Mbezi zinapakia,tukakata ticket,tukakaa kuusubiri gari .
Sasa gari imefika,Suma akazuia kupanda..akaingiza watu wake wachache pale akaruhusu gari liondoke.
Sasa tukauliza kwani hilo haliendi Mbezi??anasema niliwaambia watu wanienda Mbezi wakae mlangoni pale,nyie kwanini mlikaa kwenye vitu..Hapo ni saa 3 usiku na gari ndio zinaishia
Alooo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,ukisikia Cha moto ndio kile yule kaka alikipata.
Sasa ulitaka tukae wapi?na kama gari hakuna kwanini mlitukatia ticket..akawa anajibu Kwa jeuri,
Kuna mama akawasha moto,tukaunga wote ..zodoa yule Suma.
Tukamwambia tusipopanda gari hapa tunakupeleka polisi Leo,usituchezee.
Akaanza ooh tulieni napiga simu gari like,kama hamtulii sipigi mkae hapahapa..tukamwambia tunawasomba wote ndani leo ukianzia wewe..hamuwezi mkachukua Hela zetu halafu mtukalishe hapa.
Yaani Hadi gari inafika watu wanamzodoa yule kaka pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ