[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko serious hapa!! Natafuta na confidence mimi bana!!
Unaondoka lini eti, nijue hilo kwanza
Wapi huko?Umeona hiyo ese mdogo wako alivyo andika
Si ndio maana nakupenda sasa[emoji7][emoji7][emoji7]Sawaa. Ila hivo ulivochagua sio vizuri, niruhusu nikuchagulie vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi mama?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuuuhhhhh
Nakazia mimi jamaniUnajua vile sipendi upate shida right? Talk to me baby.
Navaa namba 41 shem kaka.Saizi namba ngapi? Mguu wako ni bapa?
Eti unavaa kiatu namba ngapi vile Baba P?
Hapahapa kila kitu shee.Kausha basis.. Kwani mpaka uoneshe utemi hapa? [emoji848][emoji124]
Usinisahau mimi kwenye kupekua marehemuKiwanja kipya sasa. Kwa mama muuza... Nakula yokosuna.... Night shift leo marehemu lazima wapige rigwaride na watoe salamu za heshimaView attachment 1257816
Nishangae tuu, Watu8 ameniambia niendelee kufyetua watoto nitanenepa.
Ila nina wasiwasi mimi ni mchaga nisije kunenepa tumbo na nyonyoz tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, mimi ni wako mpenzi wangu. Niambie tu nini mbaya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni shida sana.
Muache tu ahangaike, asijemtafuta mchawi baadae. Anadhani hao tukunyema hukuwaona?
Kipindi nasoma chuo, vile vitanda vya deka tulikuwa tunalala watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana tulivyo wembamba hatukuona haja ya kulipia vitanda vitatu kimoja tuu kilikuwa kinatosha.Mara nyingi tunatamani vile tusivyokuwa navyo.
Ndio, ni uniform.kazini kwenu ndio huwa mnavaa hivyo?
WoyooooNdio mama, on the way to mjini ulipo.
MmmhhhWako shule hapa bhana
Yangu 42Saizi namba ngapi? Mguu wako ni bapa?
Nakuja mkwe, huyo panya sio mtu wa mchezo mchezo kabisa.Yaani vipitie leo jioni kama vipi..
Kesho ni mbali atavipeleka kwa fundi wa pale Himo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati nzuri hata simuamini.