Selfika na JF: Snap it. Show it

Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii[emoji23]
Wewe una mwili kama wangu. Ukigoma kunenepa umegoma; ukiamua kufutuka hata niwe nina mfungo wa months unafutuka tu. Siku hizi nimeuacha tu unifanye unavyojisikia
 
subiri ukishusha injini utanenepa
Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii[emoji23]
 
Ameninyang'anya haki zangu sa msingi nyingi sana.
1. Miguu
2. Wowowo.
3. Hipsi
Matokeo yake mimi nimetoka kama vile familia yetu ilipewa nyongeza ya mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ so funny wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…