Selfika na JF: Snap it. Show it

Atakua ametingwa tu jembe langu coca the jiniazzzzzzzzzzzzzzz!! πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ!!
Katakuwa kameingia Field kajiniazi ketu ka Selfika.

Wakati unamsubiri tupia kapicha Madame
 
Kuna mvua huko 🀠🀠
Mie mtu ane lia lia mapenzi kama yupo karibu naweza mchapa makofi kabisa, kuna mambo mengi ya ku settle kuliko huo upuuzi 🀠🀠
Acha tulie bwana 🀣🀣🀣

Kama nilijiona bora,, mimi ndio mimi na nikaja kuachwa why nisilie 😭

😭😭😭 waliaji nawasaidia ee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuko uwanjani tunatafuta hizo hela

Ila hiyo ni kma brunch nyonyoma 🀣

Kuwa serious muda wote utachakaa akili 😁
🀠🀠 Sasa kama hivi unanipenda na mwanangu an anipenda inatosha.. Hapa kuna vitu wehu wanachanganya kati ya mapenzi na upendo.. Watu tunahitaji kupendwa sio mapenzi.. Na upendo hauna baya, upendo ni kamilifu.. Ila mapenzi ni scum tu
 
acha tuongee tu hapa ndo uwanja wetu wa kujieleza .
hatuna mashost wa kuhadithia .. kama vile slogan ya Jf inavyosema .

kukaa na mambo moyoni sio poa ... ndo ulcers zinanzia hapa , time is the best healer , tutaongea hapa end of the day tutasahau
Surely dada mpole πŸ’•

Kuongea kunapunguza uchungu na kitu kilichokukaba kooni… na hasira pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…