Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za kiwaki, chimbozzz km chimbozz yaan aaaah nkaona wee, siweziiiii.

Kuna hiyo App sasa ika install fresh, kufunguka sasa, ni mtihan, kila nkijaribu inagomaaa, kheeeh nkashindwa mie.
Mange anapatikana

Sijui app gani hizo… ila yale ma wasap ya mchongo ndiyo hayakubali kabisa
 
Maneno ya hekima
 
Tugawie vocha basi hapo namba 7 mjomba nchumali si unacho? πŸ˜‚πŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…