Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu single ni mm na ww naona nikifa ukuni wa moto unaninyemelea
ππππππAu tungekubeba, alafu tunakuacha ulale bafuni πππ ubaki wajiuliza umefikaje fikaje
Ahsanteeee sanaa, ntakuja siku 1 kutembea.Hii mtwara vijijin mkuu karibu sana ule korosho
Mm nilipendwa na binti jf alivyoniona Naomba vocha humu akaniacha [emoji856][emoji856][emoji16][emoji16][emoji16] Ivi na kujipitisha pitisha kwetu koote hakuna hata mdada mmoja wa kutuonea huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisaa.. Nazawadi yako unique πππ.. Ungekuwa unaonja tu ungeikosaaa βΊοΈβΊοΈππππππ
Bora tu sio mfuasi...naona kabisa ningenyanyasika sana πΆβπ«οΈπ
DuhAcha kabisa
Love is beautiful jamani...Hasa iwe two way Alooo
Naona Tanzania yote yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan ningekuwa mchaga ningekuwaje sijui maana hii sample hata kwetu hakuna ni mpya[emoji23][emoji23]
πππ Labda tumeumbwa kuwa ma singleMm nilipendwa na binti jf alivyoniona Naomba vocha humu akaniacha [emoji856][emoji856]
Ndio yupoje huyo mdudu?Mdudu mwenye mapembe mawili na kichwa πππ
Pep πππNdio yupoje huyo mdudu?
Nikipakiwa aiseee mbona ntakuwa kichaa kabisaDuh
Ushapakiwa kongo dust[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahWote mpoo mmeshafika eneo la tukio Lovelovie sophy27 mawardat Lenie Depal cocastic Nuzulati Saint Anne Carrasco putin Carlos Tevez Antonnia National Anthem mkwepu jr na reymage . Nimewaita mkuu Mjep shusha gombania goli hizo tuuwane humu ndani
NdiwoooooooohTayarrrri@Antonnia@St.Anne cocastic @lovielovie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna humu ndani kuna kocha wa man City na hamsemi!Pep πππ
Umeshindwa kusubiri harusi[emoji848]Koma kumwita bwana wangu kipara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha dharau wee, khaaaahHizo simu hapanaa [emoji1787][emoji1787] ikiwa chini ya 350
Kuna mtu alinipa infinix mpyaaa
Na box lake
Ikanipiga tukio usiku
Kesho yake nikaiweka sokoni
Landa kuchezea kwenye 6'5 X 6'5Kuna humu ndani kuna kocha wa man City na hamsemi!
Si angenipa shavu la kucheza Mpira niachane na ujobless.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukio gani?!![emoji1][emoji1][emoji57][emoji57][emoji1][emoji1][emoji1]Mimi nyumbani wananiachamba wadogo zangu kaahh!muone infinix tekni unashindwa hata kutumia iPhone 6 plane!nawaambiaga hameni kwangu wachawi nyie[emoji57][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwenye picha ndo nakoma nnavyochambwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una hakika?Umeshindwa kusubiri harusi[emoji848]
Ushawezwa mdogo wangu
Kwisha habari yako