Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,305
Ndioo ndiiooooo!!!Kwani unadhani nitakutongoza?😂
Babe wangu handsome kuliko wote
Ndioo ndiiooooo!!!Kwani unadhani nitakutongoza?😂
Babe wangu handsome kuliko wote
ItakuwaUnadhani ni Lesbos?
😂😂😂😂😂Ndioo ndiiooooo!!!
Acha mawazo machafu😂Itakuwa
Ndioooooooooo!!✌️✌️ Haunapo ka selfii tuone!!😂😂😂😂😂
Huwa namuangalia mara mbili mbili halafu nasema Mungu fundi😋
HaoHapana
Ila kama watumishi wa Bwana,pozi lao Hilo kuweka kwenye picha ya tangazo la mkutano sijaipenda.
Hadi nikakumbuka kuna swali aliuliza humu Mshana Jr ,japo nilipuuzia.
Weeh!Ndioooooooooo!!✌️✌️ Haunapo ka selfii tuone!!
Mambo hayo 🥳🥳😂😂😂😂😂
Huwa namuangalia mara mbili mbili halafu nasema Mungu fundi😋
Hiyo dhambi hanaAmen!!!!!
Usije tu ukaninyima lift![]()
Ila wewe jamaa si ulikuwa team makolo fc.. Umehami lini jangwani na sina taarifa 😎😎Kwa aliepo Mkapa, nipo kwenye kigoma. Kuna beer baadae tukitoka..View attachment 2355866
Hakuna kitu kama hicho.Hao
Wanapelekeana moto
Wanajificha kwenye ministry
Kwani ni mwepesi kutongozeka??🤔🤔🤔 Muamini bana Akiamua kukucheat mbona anacheat tuWeeh!
Watu wasije kunirogea laazizi wangu, roho yangu ilipo🤣
Najiamini halafu namuamini😍Mambo hayo 🥳🥳
Huogopi vidada vitamtongoza ?
Narudia tenaNajiamini halafu namuamini😍
Ila He is very handsome aisee.
Kupatwa kwa TinsleyLife is beautiful when you are happy
Hapana si mwepesiKwani ni mwepesi kutongozeka??🤔🤔🤔 Muamini bana Akiamua kukucheat mbona anacheat tu
Ameeeeen😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Narudia tena
I'm happy for you dear
Enjoy
Sa kwenye picha tu tutamtongozaje jamani kwani yupo humu Saint Anne??💃💃💃🤗🤭Mambo hayo 🥳🥳
Huogopi vidada vitamtongoza ?
Hata ningemleta live hawezi kutongozeka🤣🤣🤣🤣🤣Sa kwenye picha tu tutamtongozaje jamani kwani yupo humu Saint Anne??💃💃💃🤗🤭