Za kukamuliwa ndio nzuri kukopeshaMweee unataka kunikamua hadi damuππππ
Hela sina
Wee[emoji16][emoji16][emoji3526][emoji3526]Anza weeee!Nipo binaaa. Fanya nikuone basi ulivyobongeka
Hapana huwezi weweπ€£Hebu sema kwanza ni kitu Gani.
Ukute naweza kukupa,unaogopa Bureπ
Dah wewe dada una roho ngumu!Good evening π€£π€£ Lenie View attachment 2355727
Kwahiyo umekuwa semaji langu?πHapana huwezi weweπ€£
Au unataka pombe?Hapana huwezi weweπ€£
Jamaniii..mi Sina upole Ila napenda amaniYaniii nina nature hio! Sasa afadhali humu najitahidi kidogo ukiniona live Anne huwezi amini hivi unamjua konokono kilaza wa kwanza kabisa kuongea!!?? Ndio mie sasa!
Nitafanyaje sasa nahisi sitopewaπKwahiyo umekuwa semaji langu?π
Utanipa Saint Anne eehπAu unataka pombe?
Nitakupa ile st Anne nilipewa mwaka Jana.
Ukute ni kukuNitafanyaje sasa nahisi sitopewaπ
π€£π€£π€£ wapi huko tenaDah wewe dada una roho ngumu!
Unamuacha mtu na bado unampiga spana.
Huku poa shem lake...
NdiyoUtanipa Saint Anne eehπ
Sijuiπππ€£π€£π€£ wapi huko tena
Mi namtaka Saint Anne mwenyeweπUkute ni kuku
Tutakugawia..Mimi ni mkarimu sana,π€£
Yule Saint Anne mwenyewe πNdiyo
Si ile bia
Unakuta ndio ninako ka elfu 10 hakohako halafu mtu analeta shida zake hata kumnyima unashindwa.Za kukamuliwa ndio nzuri kukopesha
pichani Unaonekana mpole ila wewe unaongeaaaa π€£π€£π€£!!
Sasa unataka nijitoe kama Yesu aliyojitoa msalabani?Yule Saint Anne mwenyewe π