Selfika na JF: Snap it. Show it

Umneikumbusha Pesa zangu zilizo nje more than 2m
Acha kabisaa..wanadamu wa TZ sio kabisa wamenifelisha Sanaa!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mie ndo siwezi kabisaaaa, yaan kila nkijaribu kuacha, nashindwaaa.

Toka niko 4m 5 had leo, siwezi kuachaa yaan.
My dear Kama huna roho hyo huwezi,Mimi nshapigwa Sana!Hawa bodabida kuwaachia chenji ndo kawaida nawahi minadani Nampa 10k alfajiri Hana chenji ukimpigia baadae hapatikani
au hapokei yaani Sasa hivi mmekaa tu!
Ndugu ndo muflisi,mchezo nshadhulumiwaga pia yaani tafrani tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…