Mikopa sijui ina nuski gani mwaka jana nusu nichizikeπππ
Nilikuwa nampiga vibomu baba chaja mpaka akanistukia maana si kwa kasi ile sitakiii tena π¬πππ
Unaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu ππ
Alafu ukaishia kununua nguo, kununua vyombo, kwenda saloon, mikoba na kutunza watu kwenye masherehe ππ Nuzulati uliifanyia biashara kweli huo mkopo.
Alafu ukaishia kununua nguo, kununua vyombo, kwenda saloon, mikoba na kutunza watu kwenye masherehe ππ Nuzulati uliifanyia biashara kweli huo mkopo.