Unaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu ππKaaahh...hakuna hyo kituu ya pm Wala P.o Box, kupendeza kwa sherehe sio mbaya Mara moja moja..
Sina kikoba ht kimoja halafu[emoji1][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
I phone14 5.2m ndoja ntumie infinx yangu hii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Soda tamu, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Salamaaaaaa.Habari za jioni wanaselfika wote!View attachment 2354823
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesomaaaaaa, tatizo kimombo hiki sasa daaah.Cuzooooo unamwaga kimalkia
Coca umesoma ujumbe wa Cuzo?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nakuja songea ile wiki ya keshokutwa hope ntakuona msomi!Salamaaaaaa.
Msumali wa nch 80 uwafikie walengwaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine mtu anadaiwa vikoba, mshahara haujatoka, anadaiwa kodi ya nyumba na nyumbani mzazi wake anaumwa! Alafu anakuja hapa mtandaoni akihisi labda atapata faraja kana kwamba wote tunafahamu changamoto anazopitia, then anakuta uhalisia wa mitandao hauko hivo. Kifuatacho ni frustrations na stress matokeo yake ataanza kumuona kila mtu kama ndio chanzo cha matatizo yake. Psychological facts.
Waelezeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! Leo umekula nn mbna unatoa madesaaa ya kukonga nyoyo.INSECURITIES: HALI YA MTU KUTOJIAMINI NA KILA MUDA KUISHI KWA WASIWASI. Ni hali mbaya haswa huku mitandaoni utaishia kugombana na watu kila uchwao haswa ukizingatia kila mtu amekuja na tabia zake na huwezi zibadili ziendane na zako. Psychological facts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika
Kuna watu wagonjwa humu.. hawajiamini,,muda wote Wana wasiwasi na kujishtukia.
Karibu sanaaaaaaa!!!!Nakuja songea ile wiki ya keshokutwa hope ntakuona msomi!
Mtu anajishtukia wakati hakuna hata mtu mwenye mpango wa kumtafuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vitukoo.Mtu anajishtukia wakati hakuna hata mtu mwenye mpango wa kumtafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakna komweee.StAnna[emoji7]
Komwee[emoji23]
Matatizo ni mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vitukoo.
Mikopa sijui ina nuski gani mwaka jana nusu nichizikeπππUnaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu ππ
Nina bonge la komweπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakna komweee.
Ebu iweke ile yenyewe niko mobimba hata sioni vizuri!StAnnaπ
Komweeπ
Ukiweka yako, nitaweka.Ebu iweke ile yenyewe niko mobimba hata sioni vizuri!
Ulikopa wapi au saccos!Mikopa sijui ina nuski gani mwaka jana nusu nichizikeπππ
Nilikuwa nampiga vibomu baba chaja mpaka akanistukia maana si kwa kasi ile sitakiii tena π¬πππ