Selfika na JF: Snap it. Show it

..Histrionic personality disorder:
Ni ugonjwa wa akili ambao wengi wanao bila kujijua. Hivo umewahi kujiuliza huu ugonjwa ukoje na nini haswa na je unataka ufahamu kama unao au hauna? Basi fanya kuniqoute then nitag nikupe majibu ili ujue kama na wew ni mojawapo mwenye matatizo ya akili.
 
We...hebu acha ukuda wako afu nilikua na Max melo ujue!![emoji1][emoji1]yaani nilikosa tu pozi la kupiga nae picha huyu boss wa jf

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alafu kuna mtu alinirushia pm hizo pic zako. Ulipendeza htari unataka ukalipie vikoba au unafanya preorder ya iphone 14.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaaa
 
Kabisaaa shos dalali akee fanya kunitafutia mapemaaaa.. list ikitoka tu ni kuripot na kuanza kazi on spot hakuna kuomba omba ruhusa nijiandae Sijui!
Tafuta nyumba na bonge la bwanaaa najua huwezi niangushaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu toa loc mapemaaa, nianze kazi, udalali na ukuwadi ndo kazi yangu inaniweka town.

Fanya nisomeshee mchongoo huu fastaaaaaaa!!!
 
Jojo ktk role ya mzazi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hakika
Kuna watu wagonjwa humu.. hawajiamini,,muda wote Wana wasiwasi na kujishtukia.
 
Alafu kuna mtu alinirushia pm hizo pic zako. Ulipendeza htari unataka ukalipie vikoba au unafanya preorder ya iphone 14.
Kaaahh...hakuna hyo kituu ya pm Wala P.o Box, kupendeza kwa sherehe sio mbaya Mara moja moja..
Sina kikoba ht kimoja halafu[emoji1][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
I phone14 5.2m ndoja ntumie infinx yangu hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1]danga ,diwani,mtendaji au mwlkuu
Mi sijawahi fanya kazi bush ni mjini tu Dom,dar baasii Tena mjini
Vijijini wakae wenyewe,afanye ahame bwana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa sanaá. Nimekumbuka wakati wa ku apply chuo, nikawa nachagua Dar tyuuh, kuna mtu akanambia

"wee ukienda nje ya Dar utajuta kufahamu" na nkamuambia nkikosa Dar bas nasubir mwaka ujao, nashukuru awamu ya kwanza jina language likatoka fastaa nka confirm.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…