Carlos Tevez
JF-Expert Member
- Jun 8, 2022
- 383
- 1,021
Umenichekesha sana nimekumbuka hii clip 😂😂😂Nitakubonda
Umenichekesha sana nimekumbuka hii clip 😂😂😂Nitakubonda
Heee heee nitakutandikaaaUmenichekesha sana nimekumbuka hii clip 😂😂😂
Huyu dada aachike tu kwa kweli😁😁Ubarikiwe sana boss toka nizaliwe Leo ndyo nimewahi vocha
Soon Dada angu anaachika nakupa bure View attachment 2354552
Tupia hata ya zamani tu hivyo hivyo
Huyu dogo amenifurahisha sana kwa kweliHeee heee nitakutandikaaa
🤣🤣🤣🤣Sahivi wacha nimaliZie uswahili 🤣
Lenie hiyo hapoSelfika na #voda#
*104*412362367327995#
Na sikuhizi umehamia videoni kabisa
Pole yako. Wa kishua huyoMwee nimeikosa
Depal kaniponza, nilikua busy nacheka na vituko vyake
Na nitamuomba yeye vocha nikifuliaPole yako. Wa kishua huyo
😂😂😂. Kama namuona atakavyokudolishia. Kama ww ulivyomfanyia ile sikuNa nitamuomba yeye vocha nikifulia
Fo shuaaaKwakweli arudi tu sis ...kalikua so kyutii!!
yeahNdio pazuri hamuwashi AC wapa fani. Mziki ni sauti ya upepo.
Ewaa hapo hata bingiri bingiri inanoga 🤠🤠yeah
kaubaridi tu hapa
Uwiii nitajuta😂😂😂. Kama namuona atakavyokudolishia. Kama ww ulivyomfanyia ile siku
Hii mmeweka hamjaweka?Selfika na #voda#
*104*412362367327995#
Hatujaweka. Tena Lenie aliiomba ww ukamponza akaikosaHii mmeweka hamjaweka?
kabisa inanoga ile mbayaEwaa hapo hata bingio hata bingiri bingiri inanoga