Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

img_2_1662912373464.jpg
 
Nikitoka niwaache na uzi wenu muwe happy na muwe na amani, ooooh cocastic umetususa, nani anakuficha, haya nikisema niwepo humu mara nakuwa kero kwenu, mara hivi na vile,

Mnanichanganyaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
Weee uwepo wako ni muhimu sana hapaa shoss akee bila wewe selfika sio kitu jamaneeee!!
Ukitoka nakufuata hukohuko huniachi hapa Walai!!!
 
Back
Top Bottom