Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Mama mzaziNani anatakiwa kunenepa?
Mama mzaziNani anatakiwa kunenepa?
OkayMama mzazi
Asante🙏🏽😁😁 hongera jirani
Basi tulia ndaniSiendi nje ya gate
SituliiBasi tulia ndani
Ujiandae na kesho
Nimemficha huku duniani madamcocastic shoss nani kakuteka hivo rakini?? Sio kwa kutususa hukuu
Tunajiandaa kutoka shangazi 🤠🤠🤠 baada ya kuhitimisha cha tisaNa picha
okay rafikiSawa dear
Ngoja sisi tuendelee kujiselfish
Muachie one time aje kutusalimia ipunge upepo banaaa mwisho coca wetu aote sugu buree!!🤣Nimemficha huku duniani madam
Hafurukuti
Braza ondoa hako kadude machoni kanapofusha machoTunajiandaa kutoka shangazi 🤠🤠🤠 baada ya kuhitimisha cha tisa View attachment 2353760
🤠🤠🤠 Yanaweza yakawa majanga kwa kanjibai mkuu... Huenda humu nishatukana hata mabosi zangu.. Acha wabaki wana hisi hisi ila wasiwe na uhakjka maana kesho napiga kipara cha unga na ndevu zote kutoa.. Nahamisha maboyaBraza ondoa hako kadude machoni kanapofusha macho
Safiii sanaaaa mjombaaa!!! Fanyeni kutoka kidogo mbadilishe mazingira na kupata nguvu mpya mjomba wangu! Ilaa Atatembea huyo leo kweli ulisema tangu usiku vilee mjomba eeh!!??🤔🤔🤔Tunajiandaa kutoka shangazi 🤠🤠🤠 baada ya kuhitimisha cha tisa View attachment 2353760
🤠🤠🤠 Vitatu shangazi ndio maana vimekuwa tisa, that day nilikuwa na sita 🤓🤓Safiii sanaaaa mjombaaa!!! Fanyeni kutoka kidogo mbadilishe mazingira na kupata nguvu mpya mjomba wangu! Ilaa Atatembea yuko leo kweli ulisema tangu usiku vilee mjomba eeh!!??🤔🤔🤔
🤣🤣!! Malengo yako yashafeliiiii mjomba!! Fanya uweke jiko ndani kabisa unakua unajipimia utakavyo tu !!🤠🤠🤠 Vitatu shangazi ndio maana vimekuwa tisa, that day nilikuwa na sita 🤓🤓
🤠🤠🤠 Nakuja kukusalamia shangazi, ndio tu discus kuweka chombo ndani🤣🤣!! Malengo yako yashafeliiiii mjomba!! Fanya uweke jiko ndani kabisa unakua unajipimia utakavyo tu !!
Nimeitwa jina zuri sana usingizi wangu wa leo utakua mzur sana
Huku usije ntapigwa risasi na mrashia mjomba tutajadili kwenye simu !🤠🤠🤠 Nakuja kukusalamia shangazi, ndio tu discus kuweka chombo ndani
Unatakiwa unenepe ukiwa ndani ya ndoashida inakuja mie kibonge
ambavyo unapenda viportable sasa