Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kaa nami ni usiku sana
Usiniache gizani bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke yangu kaa nami
Siku zetu hazikawii kuisha
Siioni lakunifirahisha
Hakuna ambacho hakikomii
Usiye na mwisho kaa namiView attachment 2353896
Nilalapo Nikuone Wewe
Gizani mwote nimulikiwe
Nuru za Mbinguni hazikomiii

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom