Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
shida inakuja mie kibongeNaanza ndoa Kwanza kuzaa baadae baada ya ndoa
ambavyo unapenda viportable sasa
shida inakuja mie kibongeNaanza ndoa Kwanza kuzaa baadae baada ya ndoa
yupo msweet huyoMnooooooo! akiacha mawenge ni bonge la bwanaaa!!
shida inakuja mie kibonge
ambavyo unapenda viportable sasa
Wee kumbe ajichetua tu nyuma ya keyboard hapa!!yupo msweet huyo
itakuwa hapa jukwaani tu
sina kapicha ya kuonyeshaWee potaboo banaaa T acha Urongo!! Hebu selfika tuone !
Babe amekukataza kutupia Selfii humu T eeh?? umekua mbahili wa selfii kinoma sikuhizi!!😉 Vibaya hivoosina kapicha ya kuonyesha
nipo mnene kidogo
vinyama kidunchu
babe mwenyewe sina duhBabe amekukataza kutupia Selfii humu T eeh?? umekua mbahili wa selfii kinoma sikuhizi!!😉 Vibaya hivoo
Sawa dear Ukiweka usisahau kunitag pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!babe mwenyewe sina duh
i wish niweke sema kasimu nilikuwa nako situmii sasa
nitarudi kutupia selfie tu ,usijali
Nenepa kidogo brother 🤠🤠
haya itakuwa October hukoSawa desr Ukiweka usisahau kunitag pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!
Poapoa ✌️haya itakuwa October huko
tukijaliwa, Inshalllah
Najaribu mzee nafeli. Nipe tips mzee.Nenepa kidogo brother 🤠🤠
Hello madamHello Jf
Kwema mpendwaHello madam
Unako usitubaniesina kapicha ya kuonyesha
nipo mnene kidogo
vinyama kidunchu
Hapo ulishiba nini sasa
Kulea mpendwa yaani Junia akiona nimeshika simu ni kilio😬Kwema kabisa
Umekua hadimu sana
Junia amefika?