Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Sawa, nakusubiri Mwalimu 🤪🤣🤣🤣🤣🤣 mie niagizie kuku nusu on my way nakuja babuuu! usintanieeee;🚶🏼♀️
Madogo nakuja kuwafundisha madamee mwenyewe hapa! Zana za kufundishia maabara library vyote vipo!
Ila Elimu imekuwa ghali sana miaka hii