Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hako ka junia kameanza ukorofi mapema kama odo wake Saint Anne 😁Kulea mpendwa yaani Junia akiona nimeshika simu ni kilio😬
Sweetheart yani unatutosa hivi live bila chengasina darling Mjep
ningeweka tu
Tobaaaa😂💔Amina my love Saint Anne
🤣🤣🤣Hako ka junia kameanza ukorofi mapema kama odo wake Saint Anne 😁
😁😁fanya uje nyumbani
tumuwahi baby wetu wa june lol
nisamehe loveSweetheart yani unatutosa hivi live bila chenga
Acha kabisa mpendwa nafurahi ameniongezea furaha zaidi😁😁Hako ka junia kameanza ukorofi mapema kama odo wake Saint Anne 😁
hi jirani
Sawa dearnisamehe love
nitaweka tu siku
Safiii jirani..Na picha
Umenenepa mama kadogooo!!😘😘😘 una mikono mizureee😘Na picha
Salama, habari ya weekend jiranihi jirani
Usijali mpendwa😍Nifulie Madam..
View attachment 2353725
Nilienda kwa wakwe ni mwendo wa supu sikutakiwa kusogeza hata kikombe😁😁nimefutuka kama silei JunioUmenenepa mama kadogooo!!😘😘😘 una mikono mizureee😘
Nilishtua engineHapo ulishiba nini sasa
Kwani hukwenda?😂
Mimi nipo mzimaMama Junia nakusalimia👋👋😀