Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220911-121400_Gallery.jpg

Karibuni lunch leo wali na mboga mboga.
 
Salute 🫡

Kukata hivyo mboga na mkono nilishashindwa..

Kama hakuna cutting board mboga hazitalika 🤣
Mi cutting board naona inanichelewesha halafu nakata ukubwa kulingana na siku.., siku ambayo sina haraka nakata nyembambaaaa sana kwa mkono tuu.
 
Mi cutting board naona inanichelewesha halafu nakata ukubwa kulingana na siku.., siku ambayo sina haraka nakata nyembambaaaa sana kwa mkono tuu.
Yan ile kushika mboga kushoto, kisu kulia.. ni yatakatika makubwa yaje kukataa kuiva vizuri 🤣 ama mimi mwenyewe nitajikata

Hongera aisee, me ngoma ilishanikataa
 
Back
Top Bottom