Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Ukilala sshv naacha kutumia jfUsiku mwema na Mlale unono wapendwaaa![]()
Ukilala sshv naacha kutumia jfUsiku mwema na Mlale unono wapendwaaa![]()
Simu 2000Upo wapi nije chapu
Kuna watu wanapenda kula kama ng'ombe, mda wote wanajisikia kula tuu 🤠🤠🤠Aisee, ni sawa, ni vyema kula ule wakati unahisi njaa, kula kula hovyo si vizuri, au kula kukamilisha ratiba ya mlo kwa siku chai, lunch, dinner/supper , si lazima ule milo mitatu per day... we tafuta supper yako siku imeisha
UmevaajeSimu 2000
Nakusubiri
Gauni hiviUmevaaje
Geuka utaniona nimevaa shati la kitengeGauni hivi
Ukimwona mdada kibonge kavalia red
Kibonge tena hapana siji 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Gauni hivi
Ukimwona mdada kibonge kavalia red
Hebu njoo hahaha mabus yanakuja sipandi , nakusubiri weweKibonge tena hapana siji 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mbona hujavaa miwani hahaGeuka utaniona nimevaa shati la kitenge
Miwani huwa ni ya kupigia selfie za kupost selfika tu😁Mbona hujavaa miwani haha
Au sio wewe
Anakuja Mjep kwa niaba yanguHebu njoo hahaha mabus yanakuja sipandi , nakusubiri wewe
Afadhali umenikabidhi hili jukumu chiefAnakuja Mjep kwa niaba yangu




bwana wa mtu, khaaaahMie treeinaa usiwazeee wee njoo Saivi baseeee ! nipo nakusubiria kulee![]()












