Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Unataka tena [emoji41][emoji41][emoji851][emoji851]Njoo unipe tena
Unataka tena [emoji41][emoji41][emoji851][emoji851]Njoo unipe tena
Nataka eeehUnataka tena [emoji41][emoji41][emoji851][emoji851]
Ataelewa...somo liendelee...Ana kichwa kigumu huyo mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nitumie picha yako basi jaman nitakusahau bure [emoji55][emoji55]Nataka eeeh
Mchukue tu ww boss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Ataelewa...somo liendelee...
Ningefahamu ulipo ningekuletea chap upige na Savannah umwagilie moyo 🤗😋😋😋😋😋 Nilivo na ubao hapa sasa!! 🤔🤔🤔🤔
Jamaniii!! Santo sana granpa😉✌️✌️✌️ Savana haileweshi kweli babuu???Ningefahamu ulipo ningekuletea chap upige na Savannah umwagilie moyo 🤗
Sina uzoefu nazo sana Mjukuu, Mimi pombe yangu ni John Walker tangu miaka Ile ya '78 natumia hiyo tu 🙊Jamaniii!! Santo sana grenpa😉✌️✌️✌️ Savana haileweshi kweli babuu???
Kumbe!! Basii sauwa babuu Johnwoka Ndio pombe gani hio ??? !Sina uzoefu nazo sana Mjukuu, Mimi pombe yangu ni John Walker tangu miaka Ile ya '78 natumia hiyo tu 🙊
Kumbe!! Basii sauwa babuu Johnwoka Ndio pombe gani hio ??? !
Aahaa Kumbe ndio hii babu!!! Basii sauwa ✌️ Kama haina kilevi nakuja kuonja fastaa babuu🏃🏼♀️🏃🏼♀️! Santo sana
Napenda sana chakula chenye vitunguu vingi ma visiwe vimeiva sana kama hivyo.
Tusindikize na picha Mheshimiwa Boss leideeUsiku mwema na Mlale unono wapendwaaa [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji3577][emoji3577]
Napenda sana chakula chenye vitunguu vingi ma visiwe vimeiva sana kama hivyo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😊😊😊 Huu ndio chakula sasaa, sikuwa nimekula toka asubuhi nimeshinda kitandani.. Umefanya niamke hapa nisake chochote kitu