Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😊😊😊 Huu ndio chakula sasaa, sikuwa nimekula toka asubuhi nimeshinda kitandani.. Umefanya niamke hapa nisake chochote kitu
Aisee, ni sawa, ni vyema kula ule wakati unahisi njaa, kula kula hovyo si vizuri, au kula kukamilisha ratiba ya mlo kwa siku chai, lunch, dinner/supper , si lazima ule milo mitatu per day... we tafuta supper yako siku imeisha
 
Back
Top Bottom