Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimecheka mnoooo. Khaaaah chips hapanaaaa.
Chaaaa!!!!
Jamani jamani,,,Mkizaa watoto huko Nanjilinji muwalete mjini.

Ona sasa Coca hazijui Chips🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama umenielewa siendi kuandika uzi, sasa suala la ndoto... ngoja nikuhadithie tu, niliota nimekuambia nakupenda halafu ukanitukana sanaaa!! kuna mtu nikamuomba ushauri akasema hio ni kinyume, basi nikavaa mabomu kama al-qaeda, nikaja kujilipua tu litakolokuwa na liwe...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechachuka vibaya siku hizi wee, Dar ishakubadilisha yaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechachuka vibaya siku hizi wee, Dar ishakubadilisha yaan.
Matani mengi siku hizi.
Kumenichangamsha kiasi chake..Sasa naweza kurudi mkoani.
Juzi niliona kigodoro Cha pili. Aisee zile ngoma zilivyokuwa zinapigwa nilitamani nijoin kukata mauno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…