Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah pole ndugu ,Gari inadaiwa madeni kibao ukiingia TMS huko ni balaa yani ikipita barabarani tu inakamatwa nimeipaki![]()
Ah pole ndugu ,Gari inadaiwa madeni kibao ukiingia TMS huko ni balaa yani ikipita barabarani tu inakamatwa nimeipaki![]()
hahahaha.hapanaFanya kuchombeza umpate mrembo huyo
Mmh na umecheka kwanza 😂hahahaha.hapana
hahahahaha.si najua siweziMmh na umecheka kwanza 😂
Hahahahahahaha.si najua siwezi
Nkamu sura ya Avatar yako imenistua..
hahahahahaHaha
Kisa cha kutoweza ... I'm just kidding
hahahahaha.vzr kwa kufurahi,birthdayHahaha
I'm just happy leo 😊
Namshukuru Mungu kweli
Yeah furaha ni muhimuhahahahaha.vzr kwa kufurahi,birthday
Sema kweli me nmeona..... nahisi unatumia simu ya mchongoUmeanza sasa![]()
Tena aje hapa chap😁
Namiminwa kila siku hapa😁😁Hahahah ndo wewe huyo
Mbona nasikia umewahiwa ?
Hapa madam hachomoi wallah mpambe nimepata😁Mbona Mjep katulia jaman acha kumbania mtoto wa mwenzio
Kuna ule ya mwanzo Nkamu,Kabla yaa hii uliyotoa.Nkamu ile niliichoka nikapendezwa na huyo mrembo hapo.
Miss u lakini, za kwako?
Boss wewe huwezi kuwa peke yakoNamiminwa kila siku hapa😁😁
Boss wangu Carrasco putin kanambia nisubiri dada yake aachike, nimesubiri na matumaini siyaoni, na yeye kagoma hata kwenda kuwagombanisha waachane🤣🤣