Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wanaenda honeymoon wamefanyaje? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Honeymoon wanaenda wamechokaa hatari, washamaliza ufundi wote hakuna jipya, washagombana sana na kusuluhishwa hadi mahakamani na vikao vya familia.. Wanaenda honeymoon wamenunianaaa, ndani kila mtu na simu yake.. Ila hii haitokuwa kama honeymoon yetu bebii... Maana itakuwa ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ hadi shetani atajinyonga kwa wivu
 
๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค  Haaa huniamini tu Shangazi, tuna miaka hii mibee โœŒ๏ธโœŒ๏ธ no sex no kissing.. But love and caring pamoja na kuheshimiana na ndio inavyotakiwa huku tukisubiri pingu za maisha.. Honeymoon itanooga.. Kila mtu anakuwa na hamu na mwenzake. Sio wengine wanaenda honeymoon wamechoka wama ugomvi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
Sio weweee Mjomba wangu unaependa show offf nasemaaa!! ๐Ÿ˜‰

Mie natii agizo la Bossi kubwa Mr Vocha !!
Selfii ziendelee โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
 
Sio weweee Mjomba wangu unaependa show offf nasemaaa!! ๐Ÿ˜‰

Mie natii agizo la Bossi kubwa Mr Vocha !!
Selfii ziendelee โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค  Haya shangazi acha sie tuendelee kusubiri kitu chetu cha ndoa.. Lazima upate mualiko ujw ujionee
 
Mie treinnnaaaaaaahhhh! Shangazi mtu Nitawaka bi harusi akasome ๐Ÿ˜œ๐Ÿค—!
Nitayarudi hio siku uwiiiiii!!
Kasinge munoo waitu!
Ewaaa muhimu muhimuu... ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Lazima tufurahi nahisi mwana jf mmoja wapo atae pata mualiko ni wewe maana hamtozidi watatu au unasemaje Depal mama ๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Back
Top Bottom