Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,827
Maria Sarungi challenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mama mchungaji nimecheka mnooo
Hapa nipo na natural zangu [emoji1732][emoji1732]View attachment 1256325
Maria Sarungi challenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mama mchungaji nimecheka mnooo
Hapa nipo na natural zangu [emoji1732][emoji1732]View attachment 1256325
Ginehe ngosha!
Mhenga nimepitapita hata sijaona tupicha!!Hicho ni kibanda Kuna bench. Figure it out
Zipo nyingi tu mkuu, zitafute 😃Mhenga nimepitapita hata sijaona tupicha!!
Huwa sisambazi habari kama hizi ambazo tangazo lake lipo kienyeji..hamna tarahe hapo unaweza kukuta mtoto alipotea mwaka juzi na tangazo ni la mwaka juzi
Ohoooo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wacha wee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ipipandishe jui kidogo. Mshana Jr ndio kanituma.
Kama anauandaa hivi kwa ajili ya [emoji183]
Aah wapi... Tangu lini umeona mganga anaagiza mazezeta? Madude yenye roho za plastic?
Mchambuzi wangu anasema kuna mwamba ulikuwa umemlalia.Hicho ni kibanda Kuna bench. Figure it out
😄😄😄 Hapana, hakukuwa na mtu zaidi yanguMchambuzi wangu anasema kuna mwamba ulikuwa umemlalia.
Bango ni kali mzeemama
Kama anauandaa hivi kwa ajili ya [emoji183]
Chibonge
Basi kuna namna hapo[emoji1][emoji1][emoji1] Hapana, hakukuwa na mtu zaidi yangu
Boo bear
Hakuna namna yoyote, nimelala kwenye bench nikanyanyua mguu nikapiga pichaBasi kuna namna hapo