National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
πππ Mie na wewe shangazi yangu hamna kinacho haribikaNina naile mundende sijui ipo kwenye kichupa boksi lake juu lina picha ya mshedede umesimama na zile dawa fulani hivi za kama mizizi myeupe huku uhayani zimejaa sana !! ngoja nikienda dukani nitapiga picha nikuoneshe mjomba kazi ni kwakooo
Enjoy ππβοΈβοΈβοΈ!
πππ Nafikiri kuna namna tuta itest kabla ya kuanza safari ya kurudi dar es salaam, nikuchukulie chupa 12 kila mwezi kachupa kamojaNinunulie na mie, halafu muuzaji alishatest ubora wake? hebu uliza basi?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ninunulie na mie, halafu muuzaji alishatest ubora wake? hebu uliza basi?
Unaona sasa, hii ndio raha ya selfika, koneksheniπππ Mie na wewe shangazi yangu hamna kinacho haribika
πππUkiwa na shangazi hamna kinacho haribikaUnaona sasa, hii ndio raha ya selfika, koneksheni
wakora waitu!! Kasinge munoo mjomba!πππ Mie na wewe shangazi yangu hamna kinacho haribika
Aisee, itakuwa ina balaa lake kama wateja ni wengi..π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Muuzaji sijui kama katest mie mmiliki wa duka tyu naona muuzaji kajiongeza kuweka hizo dawa na zinaenda kinoma!!
πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
Kudadeqπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Mnayabust yachangamke sio penz limepoa kma uji uliolala ππ
ππππππ Watu wa kule na chini kama wameshikwa akiliAisee, itakuwa ina balaa lake kama wateja ni wengi..
EwaaaTeh maana ukijibiwa kinyume na matarajio yako bado utajilazimisha kwamba "Bwana amenionesha huyuhuyu".
Utakakamaa huku umedindaaaa mjombaa shauri yako!!πππ€£π€£πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπππ Nafikiri kuna namna tuta itest kabla ya kuanza safari ya kurudi dar es salaam, nikuchukulie chupa 12 kila mwezi kachupa kamoja
πππ Aaah shangazi sinifanyie hivyo mjomba wako.. Maisha ndio haya hayaUtakakamaa huku umedindaaaa shauri yako!!πππ€£π€£
Wazungu nao wana vumbi lao la kizungu, hizi spray una spray kwa pale kwenye kichwa cha familia, una spray kidogo tu, balaa lake sio poa, halafu ina kaharufu flani amazing..πππUkiwa na shangazi hamna kinacho haribika
SahihiEwaaa
Haya maombi yanatakiwa yaombwe kabla ya mambo.
Watu wengi wanakosea,wanaenda kuomba wakati tayari wakiwa wameshapanga mtu kichwani.
πππ Hizi ukiendekeza sana unachoka mwili mapema, nacho onaga kipindi cha sex unatumia nguvu sana.. Sijui watu wanaweza piga hizi mambo non stop.. Mie mchovu nikipata kama leo naweza kaa hata wiki mbili hadi mwezi bila shida, maana nikifikiria ile nguvu nayotumia nachokaWazungu nao wana vumbi lao la kizungu, hizi spray una spray kwa pale kwenye kichwa cha familia, una spray kidogo tu, balaa lake sio poa, halafu ina kaharufu flani amazing..
Sasa kabla ya mpambano wa UEFA, unaingia bafuni kidogo unapulizia, mwenzako yupo uwanjani hana hili wala lile kumbe una nyuklia, ukitoka huko what will happen next, i dont need to tell, everyone knows already... Kama hii inaotwa KY Duration, ila situmii na sijawahi tumia, nipo natural...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sema ni kama tumeshazoea ni bora kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli..na muda mwingine unajua kuwa husband/Boyfriend amechepuka na labda hata text uliona ila akisema sio kweli tunaridhika na maisha yanaendelea akisema ukweli mfano "ndio nimechepuka na sophy tena sijui kwanini sikumuona mapema kabla yako" unadhani itakuwaje?.hebu pima mauimivu ya uongo na maumivu ya ukweli yapi yanauma
Ndo ukweli huo mpendwa hii nadhani ni laana toka enzi za Eva bustanini alikubali kudanganywaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hatare sana siss!!
HahahaNyie motivation speakers wa mahusiano mmeshindaje