Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah ukweli nimefail, ila mala sita sija fail sana kuna watu washafanya mala mia taatu.. Mwakani itakuwa kwa mwezi mala 18, kwa mwakani nahisi nitafanya 18*12 = 216
Life is yours!! Tusipangiane maisha ausio!! Mwemwereka kwaraha zakoo mjomba kila mmoja ashinde mechi zake ama nene!! Kula karanga kwa wingiiii tende hizo asali kwakwenda mberee bila kusahau mazoezi kwa sana pumzi iwepo mjombaa😜😜😜
Tunakumbushana ausio πŸ˜‰πŸ˜‰
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nalamba lamba tu hapaaa
 
Humu o muhasband akipita akaniona dada yako nitafurushwa. Nyie wadogo zangu tupieni naked maana ndo muda wenyewe huu sisi tushapoa
🀣🀣🀣🀣🀣! Kumbe hubby yupo humu?? Dooh hapo uwe unakata head au kuweka emoj kubwaaa sasa sis ake πŸ€”πŸ€”πŸ€”! Ila naked unapita sekunde mbili nyingiiiiiii unafutaa ataezubaaa atajijuuuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‰
 
Kuna wazee wa kukrop halafu unaikuta mahali hahahahahah. Hayupo humu nisingeweka hata hyo lol
 
Mkuu; mbona unatoa siri za kambi? 😁😁😁
Hao hawana shida, kuna filamu moja nimeiangalia mwaka huu inaitwa The Tinder Swindler ni true story, kuna jamaa mmoja , alikuwa anaonekana ni tajiri sana, mfanya biashara wa dhahabu, anamiliki private jet na anaishi maisha ya kifahari sana, kwanza profile yake tu tinder/instagram ilikuwa hatari, nguo zake tu, Louis Vuitton, Balenciaga, Gucci, Versace n.k, aliwateka sana wanawake ukizingatia alikuwa na muonekano, mwisho wa siku alikuwa anawatapeli millions of dollars.

Sasa ndio wakaungana wanawake wote waliotapeliwa ili kuhakikisha jamaa cha moto atakiona, lakini nimesema hivi kwa sababu kuna mwanamke mmoja alimpenda jamaa sana, licha ya kufahamu siri za kambi kwamba jamaa ni tapeli lakini alikuwa keshapenda totally..

Ipo mfumo wa documentary, na wahusika wanaelezea story nzima...





Acha wajue siri za kambi, hawana la kufanya..
 
😎😎😎 Hiyo nipe nikupe ndio yenyewe, inabidi ku itest kama OG au
 
😎😎😎 Hiyo nipe nikupe ndio yenyewe, inabidi ku itest kama OG au
Nina naile mundende sijui ipo kwenye kichupa boksi lake juu lina picha ya mshedede umesimama na zile dawa fulani hivi za kama mizizi myeupe huku uhayani zimejaa sana !! ngoja nikienda dukani nitapiga picha nikuoneshe mjomba kazi ni kwakooo
Enjoy πŸ˜‰πŸ˜‰βœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈ!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…