Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Teh maana ukijibiwa kinyume na matarajio yako bado utajilazimisha kwamba "Bwana amenionesha huyuhuyu".Ngoja tuombe.
Ila omba sasa hayo maombi kabla hujapata.
Usiende kuomba ukiwa tayari na mtu kichwani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Umepost?.sijaona nikifungua kupitia comments za watu inagoma..Umesema wew mm nani nipinge muite aje hapa
Nimewamiss sana humuπ₯°π₯°Santo sana mama pasta!!
Ulimisika humu ππ
Shida wanawake hawajui wanataka nini na ndio maana rahisi sana kuingia kwenye mikono ya makabaira..Kachukua moyo wa mwenzie umekuwa mpira
Ile ulishaona nimerudiaWee sijaiona Sophy27 ikwapi hio selfii???Usifute kipenzi Ngoja niitafute jamaneeeπ
Basi na mm niliona jana si umevaa ushungi hivi?.very kyutiii uko msupu sana hongeraIle ulishaona nimerudia
Kwani nanyi Wanaume mnajua mnataka nini?Shida wanawake hawajui wanataka nini na ndio maana rahisi sana kuingia kwenye mikono ya makabaira..
Thanks π₯°Basi na mm niliona jana si umevaa ushungi hivi?.very kyutiii uko msupu sana hongera
Mwisho wa siku anakua karuka mkojo kakanyaga maviiiii anahahaa sio kidogooooo.... full kusumbuanaa mmxxcieeewww ππππ!! Peleka huko gonorhoea zenu alaaaahh!!πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈYeah ukweli wauma Ila bora aseme ujue mmoja .. hii kucheza michezo ya wahindi sio kabisa .
Bora umewaulizaπ€£π€£Kwani nanyi Wanaume mnajua mnataka nini?
Sie tunaka mbususu, nyie sijui mnataka kupendwa sijui kujaliwa na makololo mengine meeengiKwani nanyi Wanaume mnajua mnataka nini?
Wapeleke nn Leo madam umewachanaπ€£π€£Mwisho wa siku anakua karuka mkojo kakanyaga maviiiii anahahaa sio kidogooooo.... full kusumbuanaa mmxxcieeewww ππππ!! Peleka huko gonorhoea zenu alaaaahh!!πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
Bado Napanda maharage mie πππΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
Ndiooooooo ndiiioooo santo sana madamee... sis Kalpana bila shaka Ushapata mwongozo πππππππ€π€π€π€£π€£π€£View attachment 2347918
Hahha akinipenda mama inatoshaSie tunaka mbususu, nyie sijui mnataka kupendwa sijui kujaliwa na makololo mengine meeengi
πππ naomba kamoja
Hujambo jirani, mimi niko poaNational Anthem njoo tule tundaView attachment 2347857
Na ukweli Mama akinipenda inatosha πππ wengine wakafie mbele huko..Hahha akinipenda mama inatosha