Selfika na JF: Snap it. Show it

Heee hadi chumbani vinaingia duh
 
Hivi hao ndege huwa wanakula nini? kuna sehemu niliona wanapewa pilipili na karanga..
 
πŸ’―πŸ”¨
 
Kupangwa si poa
Na umenena vyema Kama hujazoea ndo kabisa utaachia ngazi .

Huwa naimagine eti nitoke na mume wa mtu najiwekea position ya mkewe nasema hapana .. nikija kwa watoto ndo kabisaa nakataa .
 
Saint Anne Tinsley sophy27 sikuhizi kwa huu ulimwengu tunaoishi kuolewa / kuwa katika mahusiano hakujustify Kwamba mumeo/mtu wako ndio haruhusiwi au hatapenda wengine huko nje hilo halipo!!

Nimesema tu mie msinipinge wala kunipopoa banduguu!!
note that!
It is the real life situation!
Sasa sijui ndio tamaa zenyewe sijui ndio nini.. Anajisemea Carrasco putin .mtajua wenyeweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…