Mkiwa mnazungumza story au kuchat mambo yenu hamuwezagi bila kumzungumzia mtu asiyehusika?? Mbna mna haha sana na mtu ambaye hata hawawazi nyie, mda wote mnazungumzia, hamna kazi za kufanya? Mipango yenu ya maisha jee? Mmeishiwa vya kujadili?
Muwage buzzy na mambo yenu, yasiyowahusu yatawaumiza vichwa bureee.