Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,976
okNa hata Sijui kama leo ni wikend aise
Haswaaaaaaah yaan hatareeeeh.Pole dear na unavyompenda Vee sasa
Tunabalance equation bana kama kuna singo dadaz na singo kakaz hapo equation balanced![emoji2960]Hahahaha jamani
Babu huyo na Kaka ni Wige
Nakuelewa hapo kwa bed , unajiachia zako . Huna habariShougaaaaaa angu u single rahaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Imagine 6Γ6 nalala pekee angu, na navopenda kulala kwa kujitawala, bas nageukaa mara 4 kabisaaa na sianguki
Single 4revaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana watu wao labda hukoTunabalance equation bana kama kuna singo dadaz na singo kakaz hapo equation balanced![emoji2960]
ππKuhusu yule niachie Mimi nitamalizana naeNamleta mwenyewe. Wala usiwe na wasiwasi. Shida yangu ni yule Dr. uliyemwandikia barua. Anapindulika?
Huu mguu umevimba au umenenepa?Huyu hapa ananichua Ankle!!
Juzi niliona amenitag mara mbili nikaishia tu kutikisa kichwa. Ile barua nilimtumia mpwa ili kama kuna uwezekano aifanyie "uchambuzi" ili tujue mahali pa kuanzia. Tunakuja mpwa πππππKuhusu yule niachie Mimi nitamalizana nae
ππNitamuandikia yake Ile Cha mtoto aiwekee na lamination aweke ukutani akiingia ndani tu anaiona πJuzi niliona amenitag mara mbili nikaishia tu kutikisa kichwa. Ile barua nilimtumia mpwa ili kama kuna uwezekano aifanyie "uchambuzi" ili tujue mahali pa kuanzia. Tunakuja mpwa πππ
Una bahati sijakuzoea....Shida Sana changamoto tunazopitia
As if kuolewa ni kazi rahisi zama hizi .
Mtu inabidi ukae zako , akitokea wa kubeba sawa .. Kama sivyo uishi mwenyewe tu
Unarudi lini Usukumani?ππNitamuandikia yake Ile Cha mtoto aiwekee na lamination aweke ukutani akiingia ndani tu anaiona π
Hakii jana ulijuaa kutufokea shoss akee!!!! TulijutraaaaLeo siwafokei, kisanga ni kesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Field inaendeleaje mjukuu? Hawakuonei huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rabbekhaaaaaaaa!!!!!!!
Madam nimepitwa na selfie zoteHakii jana ulijuaa kutufokea shoss akee!!!! Tulijutraaaa
Wee kumbe!! Nirikua sijui [emoji848][emoji848][emoji848]!!Wana watu wao labda huko
Asante sana kwa kunielewaUna bahati sijakuzoea....
Ningeshusha nondo hapa za kueleweka. Niseme tu mtazamo wako ni pevu na sahihi. I wish mabinti wote wangekuwa na mtazamo huu chanya. Tungezuia desperation, depression na kuingia kwenye ndoa mfu! Uko vizuri sana Tinsley πππ
Haya. Muda si muda utapata ugeni wenye mazagazaga kibao - mbuzi, kuku, michembe, karanga you name it πππNisharudi Jana mpwa nipo hapa nasubiri michembeπView attachment 2345874
Nitafurahi sana nitachinjia mbuzi wageni rasmiπHaya. Muda si muda utapata ugeni wenye mazagazaga kibao - mbuzi, kuku, michembe, karanga you name it πππ
Just by being optimistic...you have already have won 75% of your battles πππAsante sana kwa kunielewa
Mambo mengine hayahitaji kulazimisha . Just let things flow , napenda kuwa optimistic muda mwingine.