Wee unataka watu wakimbie hapa🤣🤣🤣 National Anthem sii alishasema kuwa sie hatuna hela tupo tuu na vest na boxer tumetulia magetoni
Wee unataka watu wakimbie hapa🤣🤣🤣 National Anthem sii alishasema kuwa sie hatuna hela tupo tuu na vest na boxer tumetulia magetoni
Mbona nipo hapaMbona hufiki jaman mpaka maji yamepoa au umeenda kwa mke mwingine nilale zangu mie…
Ndo tuone sasa.....🤓Wee unataka watu wakimbie hapa🤣🤣🤣 National Anthem sii alishasema kuwa sie hatuna hela tupo tuu na vest na boxer tumetulia magetoni
Hatuna hela kweli. Wee unadhani tungekuwa na hela tungehangaika humu....sasa upo na warembo pale samaki samaki table imejaa pombe huku warembo wakijichapa mafoto wee umekumbatia viumo tuu na kuyachapa chapa matako yao

Usiku bwana....usije kupata nightmare bure🤣🤣🤣🤣Ndo tuone sasa.....🤓




Kumbe nilikuacha!Nitafanyaje na wewe umeniacha![]()
Boxer zenyew hadi zimetoboka 😁😁Wee unataka watu wakimbie hapa🤣🤣🤣 National Anthem sii alishasema kuwa sie hatuna hela tupo tuu na vest na boxer tumetulia magetoni
Nimeamka napitia uzi hakuna lolote la kufanya napitia kila uzi, ila kama ningekuwa na manzi mda huu ninekumbatiwa 😁😁Usiku bwana....usije kupata nightmare bure🤣🤣🤣🤣
hahahahahahaGood morning
Tunawaachia mjiwenu wenye makelele😂😂View attachment 2343717
km ulivyoniacha mm ,ndo zako kumbeKumbe nilikuacha!
Mji huu hta Wachaw wanapata shida sana 😂😂watu hawalalihahahahahaha
hahahahaha.huku waona wenye mji, unarudi wapi sasaMji huu hta Wachaw wanapata shida sana 😂😂watu hawalali
Mbna kututisha asubuh asubh😂Leo ni ile siku ya kuita Maji mma! Kwa mashabiki wa Chelsea. Good morning wanaselfika wote amkeni amkeni