Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mkuu tunashinda humu, dalili moja wapo hatuna hela 😂😂😂 inaonekana hara kula tumepiga desh
Hatuna hela kweli. Wee unadhani tungekuwa na hela tungehangaika humu....sasa upo na warembo pale samaki samaki table imejaa pombe huku warembo wakijichapa mafoto wee umekumbatia viumo tuu na kuyachapa chapa matako yao
 
😁😁😁😁 tupo hapa tunapita kila thread na kuacha comment, huku tumevaa magetoni boksa za draft draft na vest
 
Back
Top Bottom