Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
myoyambendi jiranii
Salamu za usiku zikufikie huko ukipo 🙌
Salamu za usiku zikufikie huko ukipo 🙌
Karibu tule 🙂njaaa
nimelala 😔😔Karibu tule 🙂
Watu mna vitisho 🤣Ulipotea mchumba
Madam tumemiss zile lips fanya namna tafadhaliNishasahau kuselfika best
Nipo yaani
Thanks
myoyambendi jiranii
Salamu za usiku zikufikie huko ukipo 🙌
Heee!!!
AbeeHeee!!!
Aisee, kumbe ndio mume. SafiiiiWe mume umeniita na huku🤣🤣🤣
Karibu tule mihogo na maboga..Abee
Thank you..Karibu tule mihogo na maboga..
Jiranii...wapi LenieWale sponsors wa vocha wako wapii 🤣🤣
Wajeee
Leo nitagombania haswaaa
Masaa 48 ya crdb ni mengi sanaa
Hujambo jirani, mimi niko powa..Huo mtoko umezua sintofahamu😂😂
Pole jirani...itarudi keshoJirani crdb wameniuaa 😂 hapa napumulia mashine
Kesho saa ngapiPole jirani...itarudi kesho
Jamani mbona tunabwagana hadharani tena mkeHa haaaa hapana jamani. mzabzab hawezi kuwa muwe wangu loh hapana kabisa nakataaa. Nilikuwa natania