Ahsante Mkuu,
Kuna dogo kaambiwa ameombewa nafasi ya Business Administration katika hicho chuo ila kumbukumbu yangu ya matangazo ya hicho chuo ni afya..
Sasa nashindwa kuelewa kanidanganya kwa makusudi au waliomwambia wamemuombea hiyo nafasi ndio wamemdanganya na yeye kaamini...
Soon she will be travelling there kwenda kutumia hiyo fursa..