Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Ndio tushashinda hivyo.Pale hamna timu, Mane alikua anawasaidia sana ila sasa hivi bila marefa hamshindi
LFC timu kubwa 🔥🔥
Ndio tushashinda hivyo.Pale hamna timu, Mane alikua anawasaidia sana ila sasa hivi bila marefa hamshindi
Si walitaka kuyabeba manyumbucasto.Me sikuelewa ujue
Mpira dk 90
Added time dk 5
Nashangaa zimefika hadi 97
Nita ulizia ndg, asanteJamaa ame ni refer milano ila pia 4X4 yake ni cruiser ila namna walivyo modifie imekaa kama Jeep alifanyia 4x4
Unaniita ndugu unataka uninyime nnNdugu katika kristo Carrasco putin
Enjoy likizo time nkamuMie bado sijaamka, Mjep.
Mrembo kama huyu nichepuke ili iweje
Mmeshinda kibahatiNdio tushashinda hivyo.
LFC timu kubwa 🔥🔥
Bila shaka wewe ni mnyama #nguvu mojaPale hamna timu, Mane alikua anawasaidia sana ila sasa hivi bila marefa hamshindi
Ahaaaa mi sio mnyama bana🙄Bila shaka wewe ni mnyama #nguvu moja
Bahati ndio ushindi wenyewe.Mmeshinda kibahati
Mmetafutiwa ushindi
Nyukesto wamewapelekea moto sana
Huyu anashabikia wenye nchi..siyo wale pakapori wenye mdhunguu wa mchongo😂Bila shaka wewe ni mnyama #nguvu moja
Naaam😄Huyu anashabikia wenye nchi..siyo wale pakapori wenye mdhunguu wa mchongo😂
Ila sasa pamoja ya akili zako zote,bado unashabikia nyumbu poriNaaam😄
Sisi wananchi mchumba!😁Ila sasa pamoja ya akili zako zote,bado unashabikia nyumbu pori
Unazingua na wale nyumbu 😂Sisi wananchi mchumba!😁
Leo tunapiga mtu goli nyingi😂Unazingua na wale nyumbu 😂
Hongereni sana LiverporiUnazingua na wale nyumbu 😂
Leicester wanawapiga nje ndani.Leo tunapiga mtu goli nyingi![]()


